Home » » HUU NI UNYAMA ULIOPITA KIASI.:Ukatili Kwa Watoto Washika Kasi Geita

HUU NI UNYAMA ULIOPITA KIASI.:Ukatili Kwa Watoto Washika Kasi Geita



Mtoto Deus Juma (7) akiwa ameunguzwa vibaya kwa maji ya moto na mama yake baada ya kumtuhumu kumuibia shilingi 6,000.
-- 
MUSWADA wa Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 ulipitishwa na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba, 2009.


Ilikuwa ni miaka 20 tangu Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto
(UNCRC) upitishwe na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2009 na miaka
19 tangu kupitishwa kwa Mkataba wa Kimataifa wa Haki na Ustawi wa Mtoto
(ACRWC) 1990.


Kutungwa kwa Sheria ya Mtoto ni matunda ya juhudi za muda mrefu za Kitaifa na Kimataifa


kuona kuwa Tanzania inakuwa na Sheria mahususi ya mtoto kwa ajili ya kuendeleza na kulinda haki za mtoto Tanzania.


Pamoja na jitihada zote hizo katika kuhakikisha kwamba haki za
watoto zinalindwa na kusimamiwa kikamilifu, Vitendo vya ukatili dhidi ya
watoto wadogo bado vinaonekana kuchukua kasi katika maeneo mbalimbali
hapa nchini na hivyo kuwaumiza na kuwanyima watoto haki zao za msingi.Kwa habari zaidi
bofya na Endelea...>>>>>

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa