Home » » Gari la Mgodi wa Geita GGM lateketezwa kwa moto

Gari la Mgodi wa Geita GGM lateketezwa kwa moto


HAYA ndiyo madhara ya maandamano ya wananchi’Hili ni Gari linalomilikiwa na Mgodi wa Geita (GGM) likiteketezwa kwa moto na wananchi baada ya wananchi wa mji wa Geita kuandamana hivi karibuni kwa madai ya kunyanyaswa na uongozi wa Mgodi huo,miongoni mwa madai ya wananchi ni pamoja na kuzuiwa kuchukua miamba taka  ‘Magwangala’ ndani ya mgodi huo,mauaji ya vijana wanadodaiwa kuingia ndani ya mgodi huo kuokota vyuma chakavu na kuiba mawe ya dhahabu.(Picha na David Azaria).

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa