Home » » Mambo ya Bucha za Vijijini Huko Geita

Mambo ya Bucha za Vijijini Huko Geita


HII nayo ni Bucha ya kuuzia nyama,lakini Bucha za aina hii mara nyingi zinapatikana zaidi Vijijini kama ilivyokutwa na Mpiga picha wetu katika kijiji cha Mshinde wilayani Geita,hapa pembeni kushoto kuna Mbwa,katikati kuna watoto,na kulia kuna kundi kubwa la watu wanafanya shughuli zao kinyune na sheria za Afya.
(Picha na David Azaria)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa