Home » » Geita Vijana hawalali Njaa

Geita Vijana hawalali Njaa


MMOJA wa wakazi wa mji wa Geita akiwa amebeba matupu ya chupa za maji ambayo inaelezwa kwamba nayo ni biashara iliyochukuwa kasi kwa sasa katika maeneo mbalimbali,hapa alikutwa na mpiga picha wetu akiingia eneo la soko kuu kutafuta wanunuzi.(Picha na David Azaria).

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa