Home » » Wadau na viongozi wa mpira wa miguu wilayani Geita watembelea wachezaji

Wadau na viongozi wa mpira wa miguu wilayani Geita watembelea wachezaji


”KIPENDACHO ROHO NI DAWA” Hawa ni wa wadau na viongozi wa mpira wa miguu wilayani Geita,wa kwanza kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wilaya ya Geita(GEDFA)na Pia Kaimu Mwenyekiti wa chama cha Mpira wa Miguu Mkoa (GEREFA) Salum Ally Kulunge,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SO1) Paul Kasabago,na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita (RPC)Kamishna Msaidizi wa Polisi Leonard Paul,hapa wakikagua timu mbalimbali zinazoshiriki katika michuano ya “ULINZI SHIRIKISHI CUP MKOA WA GEITA”Hawa ni wapenzi na wadau wakubwa wa mpira wa miguu katika Mkoa huo.(Picha na David Azaria).


MWENYEKITI wa Mashindano ya ULINZI SHIRIKISHI CUP Ignas Athanas Inyasi akizungumza na wachezaji kabla ya mchezo baina ya timu hizo kuanza kwenye uwanja wa GGM Mjini hapa.(Picha na David Azaria).

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa