Mkuu wa wilaya ya Bukombe,. Joseph
Maganga (kulia), akizungumza na maofisa Ugani wa Wilaya hiyo kwenye
mafunzo ya kilimo cha mazao ya Mihogo,Pambana Viazi lishe yaliyoandaliwa
na Tume yaTaifa yaSayansi na Teknolojia(COSTECH) kupitia Jukwaa la
Bioteknolojia OFAB. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
wa wilaya hiyo, Zacharia Bwile na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Baraka
Maganga
Mshauri wa Jukwaa la Masuala ya Bioteknolojia (OFAB) Dk. Nicholaus Nyange, akitoa mada kuhusu matumizi ya Bioteknolojia ya kilimo.
Maofisa Ugani wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Ofisa Kilimo na Umwagiliaji wa wilaya hiyo, Joseph Machibya akizungumza katika mafunzo hayo.
Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia
Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi (kulia), akifuatilia mafunzo hayo.
Kutoka kushoto ni Waandishi wa habari zakilimo, Gelard Kitabu na Carvin
Gwabara.
Mtafiti wa kilimo kutoka COSTEC, Bestina
Daniel akizungumza kwa niaba wa Mkurigenzi Mkuu wa Costech wakati wa
ufunguzi wa mafunzo hayo.
Maofisa Ugani wa Wilaya ya Bukombe wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Wanahabari wakiwa kwenye mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Baraka Maganga akizungumza kwenye mafunzo hayo.
Mtafiti wa Kilimo kutoka Kituo cha Ukiriguru Mwanza, Bakar Chirimi akitoa mada kwenye mafunzo hayo.
Watafiti wa kilimo na maofisa Ugani wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Joseph Maganga.
0 comments:
Post a Comment