Afisa Uhusiano wa PSPF, Bibi Coleta
Mnyamani akiwaelimisha wanafunzi wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyoko mkoani
Geita kuhusiana na Mfuko wa Penseheni wa PSPF na lengo la kusaidia jamii katika
hususan katika masuala ya elimu. Mabegi yenye vifaa vya kusomea
yalitolewa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kama msaada kwa wanafunzi waishio
kwenye mazingira magumu wa shule ya Msingi Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita.
Afisa Uendashaji wa PSPF Mkoa wa Geita, Bw. Noel
Tuga, akiwapa maelezo wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya
msingi Nyansalwa namna ya kutumia vifaa vilivyopo kwenye mabegi PSPF iliyotoa
msaada. Mabegi yenye vifaa vya kusomea yalitolewa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
kama msaada kwa wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu wa shule ya Msingi
Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita.
Afisa Uendashaji wa PSPF Mkoa wa
Geita, Bw. Noel Tuga, akiwapa maelezo wanafunzi waishio kwenye mazingira magumu
wa shule ya msingi Nyansalwa iliyopo Mkoani Geita namna ya kutumia vifaa
viliyopo kwenye mabegi PSPf iliyotoa msaada.
0 comments:
Post a Comment