| Wajumbe wakiwa wamembeba mshindi wa kiti cha uenyekiti Mkoani Geita,Alhaji Said Maneno Kalidushi baada ya kuibuka mshindi kwa kura 358. |
| Mkuu wa Mkoa wa Geita,MhandisI Robert Luhumbi akizungumza na wajumbe wa kabla ya kufanyika kwa uchaguzi . |
| Wananchama wa chama cha mapinduzi (CCM)Mkoani Geita wakifurahia wakati walipokuwa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Geita. |
| Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Geita Bw. Joseph Kasheku Msukuma akizungumza na wanachama wakati wa uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti ambaye alitakiwa kukalia kiti chake . |
| Baadhi ya wagombe wakimsikiliza mwenyekiti ambaye amemaliza muda wake wakati wa uchaguzi. |
| Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi,Bw Hamis Kigwangala akisoma kanuni ambazo zimo kwenye katiba ya chama hicho kabla ya uchaguzi kufanyika. |
| Wagombea ngazi ya uenyekiti wakiwa wameshikilia namba ambazo zinawasaidia wapiga kula kuwachagua. |
| Wajumbe wakipiga kura wakati wa zoezi la uchaguzi. |
| Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Geita Bw. Joseph Kasheku Msukuma akizungumza na waandishi wa habari. |
0 comments:
Post a Comment