Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
akisalimia wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa
ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani
humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017.
Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa na
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato
wakifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya
ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani humo
kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo
ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na
makandarasi wazalendo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
(akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Profesa
Norman Sigalla King, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni
Mbunge wa Chato, Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel Lughumbi)
wakipanda mti wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa
ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani
humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja
huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na
makandarasi wazalendo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa na
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato pamoja
na viongozi waandamizi wa Wizara na mkoa wakikata utepe kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa
wa Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo
Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu
wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Picha na Mpiga Picha Wetu
0 comments:
Post a Comment