Home » » ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA CHATO MKOA WA GEITA

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA CHATO MKOA WA GEITA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Chato kuanza ziara ya Mkoa wa geita Machi 16, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Jafari baada ya kuwahutubia wananchi wa kata ya Kasulo wilayani Ngara Machi 16, 2016. Alikuwa katika siku ya mwisho ya zira ya mkoa wa Kagera.
Wananchi wa Kalebezo wilayani Chato wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipopita kijijini kwao akitoka Ngara kuelekea Chato mkoani Geita machi 16, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa