Home » » Dkt. Kalemani awaagiza Wakandarasi wa Umeme Vijijini kukamilisha miradi Machi 30

Dkt. Kalemani awaagiza Wakandarasi wa Umeme Vijijini kukamilisha miradi Machi 30

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard  Kalemani (wa tatu kulia) akiangalia baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika  mgodi wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo . Wa kwanza kulia ni mmiliki wa mgodi huo, Baraka Ezekiel.
  Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard  Kalemani (wa pili kulia) akimsikiliza mmoja wa wananchi wanaozunguka mgodi wa dhahabu wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo ili kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika mgodi huo.
 Baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika  mgodi wa Busolwa mkoani Geita unaomilikiwa na  Baraka Ezekiel. 
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard  Kalemani (katikati) akiwa na watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umem e nchini (TANESCO), Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Wakala wa Nishati Vijijini (REA)na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakati wa kikao chake na wakandarasi wanaosambaza umeme vijijini (hawapo pichani) kilichofanyika mkoani Geita .

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa