Home » » MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANABUKOMBE KUWA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO 2015

MWIGULU AWAHAKIKISHIA WANABUKOMBE KUWA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO 2015

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mwigulu Nchemba  akisalimiana na wananchi  Bukombe Mkoa wa Singida wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi.
 Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING"
 Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM, Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira ya dhati yakuwatumikia watanzania tangu akiwa Naibu Waziri.




 Sehemu ya Mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Bukombe.
 Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Bukombe Mkoa wa Singida wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi.

 "Tunahitaji Rais Mchapa kazi,sio Rais aliyezungukwa na Genge la wapiga Dili"Mwigulu.



 Mwigulu Nchemba akiwapungia Mkono wananchi waliofurika kusikiliza Ilani ya chama cha Mapinduzi hii leo Bukombe.


"CCM ni Ile Ile"

 Wanabukombe wakifurahia Mkutano wa Chama cha Mapinduzi,Wameahidi kuwa Miaka 5 walioyokuwa na Prof.Kahidi wa CHADEMA imekuwa yauchungu sana kwao,Hivyo kwa Uchaguzi huu kura zote kwa Dotto wa CCM. 




 Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa mwaka2015 ambayo Madiwani,Wabunge na Mgombea Urais wa CCM ataitumia kutekeleza Shughuli za Maendeleo Nchini Tanzania.

Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukombe Ndg.Dotto Mashaka.
 Sehemu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano huo.

Picha na Sanga Jr.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa