Watu watano
wameuawa baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto hadi kufa na wananchi wenye
hasira kali kwa tuhuma za kuvamia na kuiba kwenye msiba nyumbani kwa mzee John
Bulemeja Ibarabara huko Nyantorotoro A, Mkoani Geita.
Taarifa zaidi inakujia
Home »
» NEWS ALART: WATU WATANO WACHOMWA MOTO HADI KUFA HUKO GEITA
0 comments:
Post a Comment