Home » » Kamandawa Polisi Mkoani Geita Azungumaza na wachezaji

Kamandawa Polisi Mkoani Geita Azungumaza na wachezaji

  KAMANDA wa Polisi Mkoani Geita Kamishna msaidizi wa Polisi Leonard Paul akizungumza na wachezaji wakati wa ufunguzi wa mashindano ya ULINZI SHIRIKISHI CUP katika mkoa wa Geita.
  MWENYEKITI wa kamati ya mashindano ya ULINZI SHIRIKISHI CUP mkoa wa Geita Ignas Inyasi akipiga mpira na kufunga goli kuashiria kufungua mashindano hayo.
 KAMANDA wa polisi Mkoa wa Geita Leonard Paul akikagua timu kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya Matunda FC na City Boys.
HII ndiyo kamati ya mashindano ya Ulinzi shirikishi Cup katika Mkoa wa Geita (Picha Zote na David Azaria)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa