Home » » SOMA HAPA DIRA NA DHAMIRA YA MKOA WA GEITA

SOMA HAPA DIRA NA DHAMIRA YA MKOA WA GEITA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

DIRA: “Kuwa Sekretarieti ya Mkoa ya mfano nchini katika utoaji wa huduma bora za ushauri, kijamii na                    kiuchumi kwa wadau wote ifikapo 2018”.

DHAMIRA: “Kuimarisha mifumo ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na kuratibu huduma za maendeleo kijamii na kiuchumi kwa kutoa utaalamu na ushauri wa kisheria kwa wadau na wananchi  wa mkoa wa Geita kwa ujumla”.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa