Home » » NEWS ALERT: Msafara wa Dkt Harrison Mwakyembe wapata ajali, abiria wanusurika

NEWS ALERT: Msafara wa Dkt Harrison Mwakyembe wapata ajali, abiria wanusurika



Habari zimetufikia muda huu zinasema msafara wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali ambapo gari la DPP limepata ajali na kupinduka baada ya tairi la mbele kulia kupasuka. Eneo Ni Bwanga  na msafara unaelekea Chato kutokea Geita. 
Habari zainasema  gari hilo  limeishainuliwa  na safari inaendelea.Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa  watoto wawili waliovuka barabara ghafla na bila tahadhari. 
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe. Biswalo Mganga na msaidizi wake inasemekana wametoka salama.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa