WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/03/2015.
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na
Morogoro (Kusini)]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Mbeya, Iringa,
Rukwa, Katavi, Njombe na Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera, Geita,
Shinyanga, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma, Singida
na Morogoro (Kasikazini) ]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na
Pwani ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Tanga , Visiwa vya
Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua
|
VIWANGO VYA JOTO,
MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
14°C
|
12:43
|
12:51
|
D'SALAAM
|
34°C
|
26°C
|
12:30
|
12:42
|
DODOMA
|
31°C
|
17°C
|
12:45
|
12:55
|
KIGOMA
|
28°C
|
20°C
|
01:09
|
01:19
|
MBEYA
|
24°C
|
16°C
|
12:52
|
01:09
|
MWANZA
|
29°C
|
19°C
|
12:58
|
01:04
|
TABORA
|
29°C
|
13°C
|
12:57
|
01:07
|
TANGA |
31°C
|
26°C
|
12:32
|
12:42
|
ZANZIBAR
|
35°C
|
26°C
|
12:30
|
12:42
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma
Kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kaskazini-Mashariki Kwa Pwani
ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini Kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
08/03/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 06/03/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment