Home » » TUKIO KATIKA PICHA: AJALI MBAYA GITA, ILIYO KATISHA MAISHA YA WATU 11 PAPO HAPO

TUKIO KATIKA PICHA: AJALI MBAYA GITA, ILIYO KATISHA MAISHA YA WATU 11 PAPO HAPO


MMOJA wa madaktari katika hospitali ya wilaya ya Geita aliyejulikana kwa jina moja la Dk.Makomba,akimhudumia mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari matatu yaliyotokea wilayani Geita katika kijiji cha Chibingo.
 BAADHI ya ndugu jamaa na marafiki wakitambua miili ya marehemu waliokufa katika ajali ya magari hayo.
  MDAKTARI na Manesi wakijiandaa kutoa huduma kwa mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari hayo katika hospitali ya wilaya ya Geita


INAUMIZA NA KUHUZUNISHA LAKINI NDIO UKWELI WENYEWE’’HII ni baadhi ya miili ya watu waliokufa katika ajali ya magari matatu iliyotokea jana Jumapili majira ya saa 8:30 mchana Mkoani geita.
Majina ya marehemu hao ni Maria Elisante (18) mkazi wa Mganza wilayani Chato,Masasila Benjamin (17) mkazi wa Mkolani mjini Geita,James Ntungirwenge (36) Mkazi wa Nyankumbu Geita,na Eliud Ngovongo (36) pamoja na watoto wake watatu Amin (10),Emison(7),na Sara(4) wote wakazi wa Kalangalala mjini Geita.

(Picha na David Azaria wa Geita yetu Blog )
Tunaomba Radhi kwa Picha zote mlizo tazama

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa