Home » » DK MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA‏

DK MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto)  akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia wazaa baba yake  aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Katoma, Geita Vijijini, , akielekea kufanya mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkoma,. NPICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Wananchi wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa kakake Dk Magufuli katika Kijiji cha Katoma
 Dk Magufuli akiondoka baada ya kuzuru makaburi ya babu na bibi zake katika Kijiji cha Katoma
Dk Magufuli akizungumza na wananchi baada ya kuzuru makaburi

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Geita Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa